Audio Mp3 | Lameck Ditto - Wapo |Download DOWNLOAD QUTABLE LYRICS Cjali umenitesa mara ngap Au nimelia mara ngap Nia yangu ni moja Cku moja tuwe wote pamoja Cjasahau cku wa manane ule (ulivyonika) Mbele ya nduguzo na bwana ako yule (ukanitukana) Kwa mapenz nilcmama Kama chizi nlionekana Leo wa kusema hakuna Najua wapi nnakupenda Wapo waliotaka nkuache, wakasema hatutafka popote, Ndipo wakanifanya niongeze juhud mpk mwsho niwe wako Cjali umenitesa mara ngap Au nmelia mara ngap Nia yangu ni moja Cku moja tuwe wote pamoja |