AUDIO&VIDEO: Tanzania Icons – Hayasahauliki


Tanzania Icons – Hayasahauliki
AUDIO&VIDEO: Tanzania Icons – Hayasahauliki
Wimbo huu ni zawadi kwa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. JPM alikua baba wa wanyonge, mtetezi wa masikini na mzalendo wa kweli. JPM ataishi ndani ya mioyo ya watanzania milele
Previous Post Next Post